Close
Overlay

latiphar salmini - Dar es salaam, Tanzania

latiphar salmini
Send Message
Connect

About Latiphar Salmini

latiphar+salmini
Latiphar Salmini is currently living in Dar es salaam, Tanzania, and is interested in Art, Fashion, Presentations.
Not the person you're looking for?
Find more results for Latiphar Salmini

Location

Dar es salaam, Tanzania

Categories of Interest

Art, Fashion, Presentations

Company Size

5-20

Resume

MAISHA NA MAFANIKIO.
Sisi binaadamu ni kitu gani?
*sisi ni mawazo yetu /namna tunavyo fikiri na nini tunacho fikiri.

(Je kufikiri kwako kukoje?
a)Kufikiri vizuri.
b)Kufikiri vibaya.

a)Kufikiri vizuri.
Ni kuzijaza fikra zako maswala,matukio,matarajio na picha zenye kutupa
moyo na
Kutupa faraja. AU kwa namna nyingine ni kuziondoa fikra zetu katika fikra
zitupazo khofu,wasiwasi,woga, na matarajio ya maanguko.
*Hatujawa kamili bado kama hatufikirii vizuri.

b)Kufikiri vibaya.
Ni kuzijaza fikra zako maswala,matukio,matarajio na picha za kukupa
khofu,woga,mashaka na matarajio ya maanguko.
(Kufikiri vibaya kwa wengi wetu ni jambo la kawaida kabisa kulinganisha na
kufikiri vizuri ambapo kwa wengi wetu ni kama ajali. Ingawaje tuliowengi
hatujui kama kufikiri kweyu ni kuzuri au kubaya na hata wengine kutojua
kabisa kama wanafikiri,kwani anaona kufikiri kwake ni kitu cha kawaida kama
kupumua au kupepesa macho.

JINSI YA KUBADILI FIKRA ZAKO.
1)Ujue kama unafikiri.
Kwanza kabisa unatakiwa ujue na ukubali kwamba unafikiri. Binaadamu wa
kawaida ndani ya masaa 24 anapitiwa na mawazo 50,000 hadi 60,000 katika
kichwa chake. Ila kutokana na wingi wa mawazo hayo tunachuja na kuchukua
machache tu ambayo tunaamini ni muhimu kuliko mengine.
Ila tuliowengi tunachagua yale ambayo yanatuumiza,kutukatisha tamaa na
kuyapa uzito kwa sababu ya mazoea na malezi tuliyolelewa,hivyo basi
tunakuwa watu wa visasi,chuki, na visirani. Kwakuwa hao watu ni sisi
wenyewe inakuwa ngumu kujibaini
*suluhisho hapa ni kuchukulia maudhi na makwazo yote kama utani na
wanaotuudhi ama kutukwaza kama watoto.

2)Tutazame pazuri badala ya pabaya.
Daima tuya kumbuke mazuri yaliyotutokea na tuliyo yafanya hata kama ni
kidogo,na kuyasahau yale yote mabaya yaliyotutokea na tuliyofanya hata kama
ni makubwa n ya kutisha.
*suluhisho hapa ni kuamini kila tufanyacho kitafanikiwa na lazima mambo
yaende vizuri.

3)Tuzungumze vizuri kwa makusudi.
Tuzungumzie kwa makusudi matumaini juu ya afya zetu,uhusiano
wetu,maisha yetu,shughuli zetu,matarajio yetu na kila kitu kinachotugusa.
*suluhisho hapa ni kwamba hata kama unaumwa ukiulizwa hali na mtu wa mbali
sema 'safi' hatakama umeshindwa jambo sema 'safi'

4)Tusome,Tutazame na Kusikiliza mazuri tu.
Iwe ni kitabu,tamthilia au hadithi tusome,tusikilize na tutazame yale
mazuri tu. Tujiepushe na kusoma,kusikiliza na kuangalia yale yatakayo
tutisha;kutuvunja moyo,kutukatisha tamaa na kututia khofu.
*suluhisho hapa ni kujiepusha kwani yako wazi na yana julikana.

5)Tukariri aya ya kutupa moyo.
Tupitie na kudurusu mara kwa mara aya ya kutupa moyo na kutuweka imara
siku zote,iwe ni gazetini,kitabuni au kwenye vitabu vya mungu. Pia tuwe na
mazoea ya kuzitamka aya hizo au maneno hayo mara kwa mara tena kwa msimamo
na nia kama 'nataka kujiamini na kufanikiwa' , 'niniweza kufanya na
nitafanikiwa' , 'nitashinda' , nk.

6)Tujiulize kuhusu marafiki wanaofikiri vizuri.
Je marafiki wanaotuzunguka wanafikiri vizuri? Kama wanafikiri vizuri ni
wazuri kwetu na kama wanafikiri vibaya pia sio waanze leo kuwa wabaya
kwetu,kam tunaweza kuwafanya wao kufikiri vizuri tuwa badilishe na kama
hatuwezi basi tuwaepuke kivitendo,maneno,mawazo na kimatukio bila ya wao
kujua na pia kuendelea kuwa marafiki zetu kama kawaida kwani tumeshawajua.
*suluhisho ni kuendelea kuwa nao kama unahisi hawana nguvu za kukurudisha
wewe kwenye kufikiri vibaya,au kuwaepuka kabisa kama unahisi wananguvu za
kuweza kukurudisha wew kwenye kufikiri vibaya isipokuwa bila ya wao kujua.

7)Ni lazima tubadilike.
Ni sisi ndio tunao uamuzi wa kuwa tunavyotaka,hasa tunapoamua kuanza
kufikiri vizuri. Tuanze leo!

*JARIBU HILI:- unapojiwa na mawazo mabaya na machafu ya kukukatisha tamaa
kukuumiza,kisasi,chuki,khofu,woga na wasiwasi juu ya jambo lolote
kataa hapo hapo tena utamke neno "SITAKI!" kwa nguvu sana na kwa kujiamini
uone kama mawazo hayo yatarudi tena. Usijali kwa kulitamka mara kwa mara
neno hilo labda watu watakuona chizi ila tambua kama hiyo ni nafuu na tiba
kwako.

Quick Profile Summary

latiphar salmini
Name: Latiphar Salmini
Link: http://www.salespider.com/p-6986291/latiphar-salmini
Location: Dar es salaam,Tanzania

Explore using SaleSpider

Businesses You May Be Interested In

 Business Picture
 Business Picture
 Business Picture
 Business Picture

People you may know from Dar es salaam

 Business Picture
 Business Picture
 Business Picture
 Business Picture

Latiphar Salminiā€™s Business Connections

Find more information on the Company

Share This Profile

Member Spotlight

Montique Palmer Icon
Montique Palmer
KKDesigns By Montique
Owner

Business Spotlight

local dry cleaners Icon
Local Dry Cleaners
Http://www.trrigr.com/
»
»
latiphar salmini
Who Viewed This Page
458376 views
Last Seen
Thursday August 11, 2016
Top Cities
Delhi 1.7%
Toronto 1.17%
Bangalore 1.1%
Top Browser
Chrome Chrome51.56%
Iphone16.42%
Firefox Firefox14.07%
OS Expand
Windows
42.06%
Android
27.51%
Iphone
16.91%
Device Expand
Desktop
50.37%
Mobile
43.63%
Tablet
5.99%
Language Expand
En-US
64.76%
En-us
17.89%
En-GB
2.84%
spacer pixel